Jumatatu, 30 Mei 2016

Mange Has Spoken Her Mind Concerning the Video in Which Pr0stitutes Insullt President Magufuli and Paul Makonda





Wengine tunamtukana Magufuli Kwa kutupokonya #bungelive Wengine wanaomtusi Kwa kuwanyima kujiuza..😂😂😂😂... Nimechoka kabisaaaaaa . . Huyo dada ndo kiongozi wa machangu Dar.... Eeh na wenyewe wana viongozi wao 🙈🙈... . . Ila Magu hajajua jinsi ya Kuwa successful dictactor . Yani hajajifunza how to manage udictactor na wananchi wakatulia ajifunze China. China wananyimwa Kila kitu, no internet sijui social media Yani China hakuna cha Instagram, Facebook wala ushenzi huo, Au hata blog hizi za blogpost hazipatikani, hakuna kuikosoa serikali na wananchi hawafurukuti hakuna anaelilia Facebook wala bungelive, Yani wachina hawana time Unadhani ni kwamba wanaogopa jeshi Lao?? hamna ni kwamba wameridhikaaaa, Yani wananchi wa China wanapewa Maisha mazuri, umaskini unapungua Kila siku, economy inakua Kila siku, GDP inapanda Kila siku, social care nzuri, kibiashara nchi Sasa iko juu ya dunia nzima , Elimu ya China iko juuu Kila siku inazidi Kuwa nzuri, ukiacha Hiyo wananchi wa China wanaachwa watiane wanavyotaka, wajiuze wanavyotaka, China umalaya nje nje, Kila kona unaulizwa ' you want massage?' nakumbuka Hong Kong unakuta mtaa mzima ni madanguro tu wachina wanajiuza tani Yao, Yani ni K yako inaweza kuhimili mechi ngapi hakuna wa kukubugudhi.Sasa watu Kama hao Unadhani watajali eti Raisi awe dictactor?? Hakuna atakaejali maana vitu vya maana wanapata vyooooote. . Yani ukitaka Kuwa dictactor make sure nchi haina umaskini, Kila mtu ana Maisha mazuri, mhospital mazuri, dawa za kumwaga na watu watu wanafanya NGONO Kwa kujinafasi. Hivyo vitu viwili usipowapa wananchi Alafu unaleta udictactor lazma utanyonywa kamasi za pua na wananchi 😂. binadamu wanataka 2 things only, pesa na ngono finish. Sasa Magufuli yeye Pesa za kuwapa watanzania hana umaskini ndo umezidi Sasa Hivi watu chai wanakunywa bila sukari , watu shida zimewajaaa Hadi makalioni, mpaka Elimu majanga Yani watu hawana future, wanafunzi wanatolewa vyuoni wanaambiwa warudi majumbani, uwiiiiii Alafu na ngono anakataza, ,,, yani Inshort watu hawana hela Alafu na ngono pia wanabanwa then hapo hapo Raisi anataka kuleta udictactor no Bunge live, no kumsema kwenye social media , weeeeee hapo udictactor lazma ufeliiiiiiiiiii.
A video posted by Bring Back #BungeLiveTz (@mangekimambi_) on

0 maoni:

Chapisha Maoni